Kisa cha mwanamke mmoja nchini Afrika Kusini aliyevua
nguo zote na kubaki Uchi kama alivyozaliwa na kusimama mbele ya sanamu
kubwa ya hayati Nelson Mandela, kimewaacha wapita njia na majirani
waliokuwepo karibu na eneo hilo midomo wazi. Kwa mujibu wa gazeti la
Star, Jumatatu mchana ya wiki iliyopita mwanamke huyo ambaye
hakufahamika alifika eneo la Sandton, Johannesburg ilipo sanamu hiyo
akiwa amevaa vizuri. Ghafla akafanya kama ambavyo hufanya wakati wa
kuoga, alitoa nguo zote na kusimama mbele ya sanamu hiyo na kuwapa watu
onesho la bure huku wengine wakichukua picha na video exclusive za
kupost katika mitandao ya kijamii.
Hata hivyo mwanamke huyo alipomaliza kufanya alichokuwa anakifanya
(ambacho hakijulikani) alivaa nguo zake moja baada ya nyingine tena
taratibu kama yuko chumbani kwake na kuondoka huku watu wakimshangaa.
<< Play >>
Jumatano, 6 Agosti 2014
VIDEO: MWANAMKE AVUA NGUO NA KUBAKI UCHI MBELE YA SANAMU YA HAYATI NELSON MANDELA
06:03
No comments
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni