Treni lililobeba abiria zaidi ya 200 limepata ajali kwa kutereza pembeni ya reli na kusababisha baadhi ya mabehewa kuwa nje ya reli. Abiria waliokuwemo ndani ya treni hilo walilazimika kukimbilia upande wa pili wa treni hilo ili kuepuka lisidondoke kwenye maporomoko.
Juhudi hizo zilisaidia na hakuna mtu aliyefariki kwenye hiyo ajali lakini watu 11 walipata majeraha na watano kati yao kupata majeraha makubwa.
Ajali hii imetokea kwenye mlima ya nchini Uswisi.
Ijumaa, 15 Agosti 2014
Treni lenye abiria zaidi ya 200 lapata ajali mlimani
04:21
No comments
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni