Serikali ya kenya ya pinga tabia chafu zinazoendelea maeneo ya sarehe
nyakati za usiku kwani ni kinyume cha maadili. Pia wananchi wameungana
na serikali yako kupambana na machangudoa kwani ndio chanzo pia cha
tabia nyingine chafu nyakati hizo za usiku
0 comments:
Chapisha Maoni