.

Ijumaa, 1 Agosti 2014

Mtuhumiwa wa Mauaji ya Ayoub Mlay Kwa Bastola Ambrosia Club Aonja Joto ya Jiwe Leo Mahakani Kisutu
















Mtuhumiwa wa kesi ya Mauaji, Conrad Leo (33)akiwa chini ya ulinzi wa polisi mara baada ya kuachiwa na kukamatwa tena katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam jana.Mtuhumiwa huyo anashitakiwa kwa kosa la kumuua kwa kutumia silaha Ayubu Mlai.

0 comments:

Chapisha Maoni