.jpg)
Baada ya mashabiki wa Wema kuamua kuanzisha kampeni
maalum dhidi ya Diamond wakimtaka amrudishe wema wao kwenye game
walilomzoea #BringBackOurWema, mashabiki wa Diamond nao wameibuka na
yao.
Katika Instagram imefunguliwa akaunti maalum ya watu wanaojiita TeamDiamondTz nao wameanzisha kampeni ya kumtetea Diamond huku wakimtaka Wema kuachana na starehe zisizo na faida kama alivyosema Diamond.

0 comments:
Chapisha Maoni