.

Alhamisi, 7 Agosti 2014

KWA NINI SISI WANAWAKE/WASICHANA WANENE NA WENYE MAKALIO MKUBWA HATUPATI WAUME WA KUTUOA ?



1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi
hatuolewi:
(a)Miili yetu imepitwa na wakati,
(b)Labda wanadhani tutashindwa mechi.


2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa?
(a)Tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba,
(b)Tuanze kuwatongoza wanaume.


NALILETA MEZANI TULIJADILI. Nimefanya uchunguzi
yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana

0 comments:

Chapisha Maoni