.

Jumatano, 6 Agosti 2014

KUNA SIRI GANI KATIKA MAKALIO YA WADADA WA MJINI? KILA WAKIPIGA PICHA LAZIMA WAYABINUE


Mwanamke anayejiamini huonekana wa Tofauti katikati ya wanawake wengi...

Silaha pekee kubwa anayopaswa kuivaa mwanamke yoyote .Mwanaume anapoangalia Sifa za nani anapaswa kuwa ubavu wake anaangalia kwanza Sifa Hii...Utashangaa wenzio wote wanawezaje na wewe unashindwa nini,Jibu ndio hilo

Makalio Makubwa bila Confidence ni sawa na Al Shabaab bila Silaha...Inashangaza mwanamke na akili zake anapoteza muda,anajivunia Shape,''Oh nimebarikiwa,Nimejazia,Nna shape ya Ukwee' wakati kichwani zero ana akili za moto kama uji wa ulezi
Hayo Makalio zaidi ya kukalia makochi yangu na kuyazeesha Mapema kwa uzito usio na Maana kuna lipi la zaidi yataniongezea kwenye maisha yangu Labda kama nna mpango wa kufungua bendi ya Baikoko nyumbani kwangu.
Only Cheap girls hukazana kuonyesha jinsi gani Makalio ni dili na kuyatumia kama Kigezo cha kukamata Wanaume Cheap.Mwanaume anayekuwa moved na Mwanamke mwenye Makalio makubwa kama Kigezo pekee lazima akili yake ina ujauzito wa miezi 10 na lazima azae Kibwengo.

0 comments:

Chapisha Maoni