.

Ijumaa, 1 Agosti 2014

KAJALA AJIBU MASHAMBULIZI YA KUSINGIZIWA






Staa wa Bongo Movie Kajala Masanja ambaye mpaka sasa inasemekana ukaribu wake yeye na Wema Sepetu bado wakusuasua kutokana na sababu iliofichika ,chanzo chetu cha kuaminika kimembamba Kajala akikosha nafsi yake baada ya kusingiziwa sana kuwa anachukuwa wanaume wa watu hivyo kajala amejibu mapigo kwa kujinyakulia kijana mdogo anaye tambulika kwa jina la ‘Medy’ kwa ajili ya kumkosha moyo. 

 

Inasemekana kuwa kwa sasa Kajala ameonekana kuwa huru coz amempata mtu mbaye anauwezo wa kutokanae kwenda sehemu yeyote ile na kupeana mahaba kama unavyoona pichani huyu ndiye kajala wa sasa. 

0 comments:

Chapisha Maoni