.

Ijumaa, 15 Agosti 2014

JE NIKWELI JOKATE ANAPENDA KUIGA MASTAA WA MAMTONI?!!! CHEKI PICHA HIZI PICHA


Urembo ni kitu kizuri na kwenda na Fasheni ndio msingi wakuonekana HOT kila wakati...mwanadada Jokate hayuko nyuma kwenda sambamba na wakali wa nje...big up!!!...Cheki picha hizi ujionee AKI- COPY NA KU-PASTE Mtindo wa nywele wa Rihana na Beyonce katika style tofauti!!!

0 comments:

Chapisha Maoni