MODO maarufu Bongo, Hamisa Mabeto amekanusha vikali taarifa za kuwa ana
msururu wa mabwana kama inavyosambaa kwenye mitandao ya kijamii.
Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni, Hamisa alisema anawashangaa
watu ambao wanamtaja kuwa na msururu wa wasanii ambao anafanya nao kazi
wakiwemo wadau mbalimbali wa muziki kitu ambacho hakina ukweli wowote.
“Nazushiwa tu mara DJ Choka mara sijui nani, ni hivi sina mpenzi. Nikiwa na mpenzi kila kitu nitakiweka hadharani na k
“Nazushiwa tu mara DJ Choka mara sijui nani, ni hivi sina mpenzi. Nikiwa na mpenzi kila kitu nitakiweka hadharani na k
0 comments:
Chapisha Maoni