Wakati msako wa kuwatafuta akina dada wanye vipaji vya kuimba kupitia
Super Nyota Divas inayoendeshwa na Fetty kupitia Clouds FM ukiendelea
katika mikoa mingine 17 baada ya kufanyika katika mkoa wa Mwanza,
Diamond aahidi kufanya collable na mshindi wa Super Nyota
Akiwa kwenye stage baada ya ku-perform na Lina "Kizaizai" Diamond alitoa tamko hilo akisema
Alhamisi, 14 Agosti 2014
DIAMOND UNAHITAJI PONGEZI KWA HIKI ULICHOKIFANYA KWA MSHINDI WA SUPER NYOTA MWANZA
07:19
No comments
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni