Future amefuata tena historia yake ya kuwa na uhusiano,kupata mtoto na
kutafuta mwanamke mwingine na hivi sasa amefanya hivyo kwa Ciara. Mwanzo
zilikuwa ni tetesi lakini hivi sasa zimekuwa rasmi kabisa kutokana na
vyanzo vingi kuthibitisha habari hizi kutoka kwa Ciara.
Magazine ya Us Weekly limethibitishiwa habari hizi kutoka kwa mtu wa
karibu na Ciara kwa kusema kwamba Future alimuongopea kwenye mapenzi yao
na Ciara ameamua kuchukua njia yake na kuweka akili yake kwa mtoto
zaidi.
Japokuwa lebo ya muziki inawafanya wawe karibu kutokana na kuwa ndani ya
lebo moja, Ciara akikutana na Future ni kwa ajili ya kazi tu na sio
uhusiano mwingine
Ijumaa, 15 Agosti 2014
Ciara na Future wameachana na hivi sasa sio wapenzi tena.
04:25
No comments
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni