Askari mmoja wa kikosi cha usalama barabara ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja, amenusurika kufa baada ya kupata ajali akiwa anaendesha pikipiki ya polisi, ambayo ilikosa mwelekeo na
kugongana uso kwa uso na gari dogo lenye namba za usajili T 681 CUX eneo la Bamaga Mikocheni jijini Dar es salaam.
Jumatatu, 18 Agosti 2014
BREAKING NEWS: TRAFIKI AGONGWA NA GARI ENEO LA BAMAGA!!
21:27
No comments
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni