.

Jumatano, 6 Agosti 2014

Beranda » Tanpa Label » DUH! ZITTO KABWE AANZA KUIMBA BONGO FLEVA!!!!! Apewa featuring ktk wimbo wa Linex. Ni shidah ingia hapa ushangae. DUH! ZITTO KABWE AANZA KUIMBA BONGO FLEVA!!!!! Apewa featuring ktk wimbo wa Linex. Ni shidah ingia hapa ushangae.

Staa wa Bongo Fleva,Linex Sunday Mjeda hivi karibuni ataandika historia kwa kutambulisha video ya ngoma yake “wema kwa ubaya” katika ukumbi flani na tukio hilo kuonyeshwa live kwenye tv station mbili nchini Tanzania, na katika ngoma hiyo itaskika sauti ya mbunge wa Kigoma Kaskazini, Mheshimiwa Zito Kabwe.Kwa mara ya kwanza pia linex ameweka rekodi kwa kumlipa mkwanja mrefu director Adam Juma next lavel ambaye hivi karibuni aliwahi kufunguka kuwa tangu aanze kazi yake hajawahi kulipwa zaidi ya milioni tatu na nusu, sasa linex amedai amevunja rekori hiyo.

0 comments:

Chapisha Maoni