.jpg)
Haya Sasa Mrembo wa Haja Tuko Tasnia ya Bongo movies Hapa Tanzania Amejitokeza na Kusema anatafuta mtu Mwenye Pesa atakaye kuwa Tayari Kumsomesha Chuo cha Kujifunza Uhudumu wa Ndani ya Ndege ama Urubani Kwani Anatamani sana kazi Hizo mbili sema Gharama za Ada ndio zina mtatiza kwani ni kubwa Mno....
0 comments:
Chapisha Maoni