Meneja
wa Diamond, Babu Tale amezungumzia kile kile kinachoelezwa kuwa ni beef
kali ama ushindani mkubwa kati ya Diamond na Ali Kiba, moja kati ya
mada ambazo zinatengeneza mijadal mingi sana kwenye mitandao ya
kijamii.
Amesema Babu Tale.
Ameeleza kuwa hiyo kwake anaona challenge hiyo ni nzuri kibiashara na sio tatizo na kwamba likionekana ni tatizo watalitatua.
Ameeleza kuwa hiyo kwake anaona challenge hiyo ni nzuri kibiashara na sio tatizo na kwamba likionekana ni tatizo watalitatua.
Ameongeza Babu Tale.
Alipoulizwa kuhusu ujio wa Ali Kiba kuchukuliwa kama ndio sehemu ya mapinduzi dhidi ya utawala wa Diamond, Babu Tale aliipinga kauli hiyo.
Alipoulizwa kuhusu ujio wa Ali Kiba kuchukuliwa kama ndio sehemu ya mapinduzi dhidi ya utawala wa Diamond, Babu Tale aliipinga kauli hiyo.
Ameongeza kuwa hajafirikia kuhusu suala la Ali Kiba kumpindua Diamond.
0 comments:
Chapisha Maoni