Maswali mengi yamekuja baada ya Wema kufanya show
Mwanza mpenzi wake alipokuwa akiperform jukwaani, pamoja na hayo
mashabiki waliyo wengi wametaka kuona Wema akijishughulisha kuliko hivyo
anvyo zunguka na hawajui anafanya nini. Wema ana mashabiki wengi sana
wanaompenda na kutaka mafanikio yake. Baada ya swali hilo hapa chini ndo
jibu alilitoa kaka Meneja wa Wema amejielezea vizuri sana baada ya
Kuambiwa Kashindwa kazi:






0 comments:
Chapisha Maoni