Unajua
Serengeti Fiesta mara nyingi huwa ni kama sikukuu ambayo ikifanikiwa
kufika mkoani kwako hutamani kuikosa au hutamani kusimuliwa,usiku wa
August 08 ni wasanii waliofika Mwanza kwa ajili ya Fiesta walikutana na
mashabiki wao.Ilikua
ni aina nyingine ya burudani kwa mashabiki ambao walifika Jembe ni
Jembe Beach kuwaona mastar wao kadhaa ambao tayari wamefika
Mwanza,wakapata time ya kupiga picha na perfomance ndogo ya wasanii hao.
Kwenye party hii Host alikua Adam Mchomvu kutoka XXL ya Clouds Fm ambapo yeye aliamua kufanya stand up comed,baadae katikati ya show Adam alianza kushoot video ya wimbo wake mpya ambao haujatoka bado.
Hizi ni baadhi ya picha hizo....

0 comments:
Chapisha Maoni