MISS Tanzania 2006/07 Wema Sepetu amesema ugonjwa wa ngozi ulioshambulia
sehemu ya shavu lake la kushoto umeharibu urembo wake na kumfanya
ashindwe kutoka.
Miss Tanzania 2006/07 Wema Sepetu.
Akizungumza kwa huzuni , Wema alisema hakutegemea kama tatizo hilo
lingekuwa kubwa, kwani lilianza kama kipele kidogo ambacho baadaye
sehemu kubwa ilivimba na kuharibu mwonekano wake.
“Ulianza muwasho, kikawa kipele kisha kikageuka kama kishilingi.
Nilipokwenda hospitali nilipewa dawa ya crime ya kupaka, mimi nikachua
eneo lililoathirika, kumbe ndiyo nikawa nasababisha matatizo, kukavimba
zaidi kama unavyoona,” alisema Wema ambaye alikataa kupigwa picha.
Alhamisi, 24 Julai 2014
WEMA APATA GONJWA LA NGOZI..SHAVU LAHARIBIKA VIBAYA..ASHINDA NDANI....UREMBO WOTE KWESHINEY
14:18
No comments
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni