Director
yuleyule ambae mikono yake inahusika kuisuka video mpya ya Nay wa
Mitego iitwayo ‘Mr. Nay’ ndio amehusika kuisuka na hii mpya ya Shishi
baby hukohuko nchini Kenya.
Wakati tukiisubiria video yenyewe, Shilole ametutumia baadhi ya picha zikionyesha ilivyokua kwenye utengenezaji wa ‘namchukua’
N
Jumatatu, 28 Julai 2014
Pichaz 13 toka Kenya za utengenezwaji wa video ya Shilole ‘namchukua’
20:35
No comments
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni