Ukweli unauma...nasema hivi Talent pekeee haitoshi
bila kujipanga...nikiwa kama shabiki wa Ali kiba,huu wimbo wa mwana
kachemka..watanzania tuwe wakweli na sio watu wakurupuka tu..Kiba ana
vocal za hatari hili halina ubishi ila nyimbo hamna kitu..chorus haina
mvuto maneno hajajipanga..in short kapanic..na kama ndo alijichimbia na
kutoa nyimbo basi alichemka Game imechange na ndo maana ata ukisikiliza
nyimbo ya Fally ipupa kabadilisha style mpaka beat..My opinion ni kwamba
Kiba huyu sio sawa na Kimasomaso..Kapanick yani kama huyu ndo
competitor wa Dogo Dangoti alipo anacheka tu..kweli Kiba u lacking some
Good PR,Management ambayo inajielewa ikupe ushauri,inauma kwasababu
sauti yako ni untouchable ila wrong management..ni hayo tu..Naandika
hivi ili watu wake wampelekee msg its such a waste of Talent.
0 comments:
Chapisha Maoni