Kwa mujibu wa utafiti uliofanyika hivi karibuni inasemekena ya kwamba wengi wa wasichana warembo huwa na tabia chafu sana, kama vile za usagaji, udanganyifu kwenye mapenzi pia kujiamini kupita kiasi. Wasichana hao warembo pia wamekuwa wakiishi bila kuolewa kutokana na tabia zao hizo mbaya na kujikuta wakizeeka bila familia au wengine pia walioko kwenye ndoa kuachika.
0 comments:
Chapisha Maoni