.

Jumapili, 1 Juni 2014

TANO BORA ZA MASTAA WAKIKE BONGO WANAO TOKELEZEA VEMA KWENYE PICHA ..CHEKI LIST NA PICHA ZAO HAPA



Vibe inakuletea list ya mastaa wakali ambao wanapogusa camera au mtu yoyote kutaka kuwapiga picha basi tegemea picha moja kali sana na hii ndio maana nzima ya mrembo kuwa photogenic.Mastaa waliofanikiwa kuingia katika list ni :-
Elizabeth Michael (Lulu)
 
Jokate Mwengelo

Wema Sepetu

Jackline Wolper

Linah Sanga



0 comments:

Chapisha Maoni