.

Alhamisi, 5 Juni 2014

Maskini Penny Yupo Hoi Kitandani Apumulia Mashine


Ni siku ya tatu sasa yule mtangazaji wa Radio mpya ya EFM na ex-girfiend wa Diamond Platnumz , DJ Penny akisumbuliwa na ugonjwa wa Asthma na hali yake kwasasa bado haijawa nzuri.


Kwasasa penny anasaidiwa kupumua kwa mashine kutokana na Asthma hiyo kufika pabaya.


Mungu amsaidie DJ Penny aweze kupona mapema na arudi akiwa mwenye afya njema
CREDIT : VIBE

0 comments:

Chapisha Maoni