Siku hizi, hakuna lisilowezekana kiteknolojia, mfano hips, unaweza weka za mchina ukatutambia nazo au unaweza bakia huna hips ila picha zako za instagram, whatsapp na FB ukazileta kwa wataalam tuzitanue uonekane una hips kwa Kutumia Kompyuta. Ndio faida ya teknolojia. Ila unavyomtafuta "mtanuaji" uhakikishe unampata aliye makini, la sivyo atakuumbua, anaweza tanua hips na Mlango. Angalia Hiyo Picha Hapo Juu Hips la Upande wa Kushoto limetanuliwa ila alie tanua akatanua na Mlango Pia .....Hahah Hips Don
0 comments:
Chapisha Maoni