Diamond, Wema na Aunty Ezekiel safarini South Africa kwenye tuzo za MTV Africa Music Awards
Kupitia Instagram yake Diamond ameandika:"Asante sana @fastjetofficial kwa kunisafirisha mimi, Familia yangu na team yangu nzima kuelekea kwenye Tuzo za MTV Awards Nchini South Africa.. hakika nyinyi ni Mfano Bora.. Kama Hauna Taarifa bado, Kampuni ya Fast jest sasa imeanzisha huduma mpya ya kutoka Tanzania hadi South Africa.
0 comments:
Chapisha Maoni