Flora Mbasha alikuwa na mchumba anaitwa Imma Lugisha huko Mwanza kabla
hajaja Dar akiwa amechumbiwa tayari Wiki mbili kabla ya kufunga ndoa
Flora akapata safari ya kwenda UK ambako wenyeji wake walimshauri kwamba
kwa uzuri wake atapata Mume mzungu mwenye pesa kuliko Imma yule wa
Mwanza. Ili kumkimbia Imma Flora na familia yake wakamtengenezea ishu
Imma mchumba wake kwamba ana Ukimwi kwa hiyo Flora hawezi kuolewa naye,
mpaka leo Imma hajawahi kuoa tena na wala hana hamu kumbe hili la
kumsingizia Mumewe kumbaka mdogo wake hakuna jipya kwa wanaomjua vizuri
ila ilikuwa tu the matter of time kabla hanaswa
0 comments:
Chapisha Maoni