Kimberly Noel Kardashian aka Kim Kardashian aka Mama North West ambaye ni designer pia mtangazaji wa kipindi chake “Keeping Up with Kardashian ” kinachorushwa na television ya E-NEWS huko nchini marekani.
Baada ya kufunga ndoa wiki mbili zilizopita amepata kuwashangaza wananchi na mashabiki wake baada ya kumuona mwanamitindo huyo akiwa amevalia gauni refu ambalo limefunika kila sehemu ya mwili wake tofauti ya walivyomzoea kwa mavazi mafupi tena yenye kuacha kila kiongo katika mwili wake na mashabiki hao kusema ni ndoa imembadilisha na kuwa mke mwema na kuheshimika .
0 comments:
Chapisha Maoni