Rihanna amewahi kuacha gumzo mara nyingi kutokana na picha zake
zinazosambaa mtandaoni. Mara nyingine tena picha za Rihanna ndio
zinakuwa picha zinazoangaliwa sana hivi sasa kwenye mtandao. Picha hizi
amepiga akiwa kwenye red carpet ya CFDA Fashion Awards huko New York.
0 comments:
Chapisha Maoni