Unaambiwa Wachina wameamua kuonyesha maajabu mengine kwa kufanya begi kuwa baiskeli tena ikiwa na uwezo wa kubeba mtu mmoja na ikiwa ni baiskeli yenye ufanyaji kazi kama wa pikipiki.
Baiskeli hii imezinduliwa na mkulima aitwae He Liang ambae ametumia miaka 10 kulitengeneza sanduku hili ambalo lina nafasi ya kutosha ya kuweka nguo ambapo likiwa tupu unaambiwa lina uzito wa Kilo 7.
0 comments:
Chapisha Maoni