Presenter maarufu kwa kipindi cha ala za roho cha clouds Fm, maarufu kam Diva, ambaye hivi juzi kati alifunguka na kukiri kuzama katika penzi zito na msanii mkongwe wa muziki huu wa bongo fleva, amefunguka tena ila hii ya sasa na kuchanganywa na msanii mchanga aitwaye mo music kwa wimbo wake maarufu uitwao basi nenda, Mo music amezidi kumchanganya
presenter huyo hadi kufunguka na kusema haya”Ukizungumzia Suparstaa mpya Tanzania aliebeba Nyimbo Ya Taifa la Tanzania inaitwa Basi nenda basi @momusic1 @momusic1 ndio Alieimba basi nenda .. sawa nenda , nami nitaudang’anya Moyo utatulia … basi mwenzenu Kutwa mara tatu yaan nauskiza asubuhi nikiamka, mchana lunch time na Dinner ….. ”
0 comments:
Chapisha Maoni