.

Jumamosi, 7 Juni 2014

BAADA YA MTANZANIA KUMILIKI GARI YA DHAMANI YA TSH BILIONI 1 NA USHEE , SASA HUYU NI MKENYA AKIJIBU MAPIGO



Baada ya Davis kuwa mtanzania wa kwanza kumiliki Mkoko aina ya (Lamboghirn) wenye dhamani zaidi ya Shillingi Billioni Moja na Nusu, kiukweli gari hili la kifahari ambalo ili ulinunue ni lazima uende kiwandani na kutoa order maalum tu na sio vinginevyo.
Sasa huyu ni mkenya akijibu mapigo kwa kununua "Bugatti Veyron Grand Sport Vitesse" yenye dhamani ya dola za limarekani $2.1 Milioni, hii ndiyo gari yenye kasi zaidi duniani.



The super car boasts of a top speed of 254mph, 8.0-litres, 16 cylinders, 4 turbochargers and an output of 1183bhp, making it the fastest car in the world.


0 comments:

Chapisha Maoni