.

Jumanne, 3 Juni 2014

ASKARI FEKI WALIOKAMATWA MKOANI IRINGA





Kamanda wa polisi mkoa wa Iringa,Ramadhan Mungi akiwaonyesha maaskari feki ambao walikuwa wakifanya utapeli katika mikoa ya Iringa na Morogoro ,kulia ni Bazil Nyakunga ambae ni mwalimu akiwa na sare za polisi na katikati ni bossi wake Godlack Mbehale.




Askari polisi Mkoani Iringa (kushoto) akiwa na maaskari feki katika ofisi ya kamanda wa polisi leo

0 comments:

Chapisha Maoni