.

Jumatano, 4 Juni 2014

ANGALIA PICHA: GARI YAGONGA MLANGO WA BENKI YA CRDB, MOROGORO




Gari limegonga mlango wa kioo wa Benki ya CRDB, mkoani Morogoro. 


Taarifa zinasema kuwa dereva huyo alikuwa anataka kurudi nyuma kumbe alibonyeza sehemu ya kuendeshea ndo akaishia kuingia CRBD .

0 comments:

Chapisha Maoni