Uhalifu, Usaliti, ukatili, mapenzi na mikasi! Beyonce na Jay Z wameachia
trailer ya filamu iitwayo ‘RUN’ … japo usitegemee filamu yenyewe kutoka soon.
Mume na mke huyo Jumamosi hii wamefanya surprise ya trailer ya ziara yao ya On
The Run Tour, itakayoanza mwezi ujao.
0 comments:
Chapisha Maoni