So bad leo katika pitapita kwenye mitandao ya kijamii, makubwa haya
tukabaini picha za kihasarahasra ambazo zimepigwa na staa shilole nchni
muscat, mashabik wakalalamika sana na kusema haiwezekani staa shilole
avae nguo fupi katika nchi ya waarab kama ile, Ukweli ni kwamba ni kweli
nchi inatamaduni zake na sheria zake, bt ukweli ni kwamba picha hizo
amezipiga akiwa hotelini na kwenye kordo ya hotel, ila akiwa barabarani
anatupia ushungi kama hivi. Nazani mmejione wenyew.
0 comments:
Chapisha Maoni