LONDON!!! LONDON!!! LONDON!!! I thout i told ya … see you in a
bit -Diamond
Platnumz aliingia nchini jana Ijumaa (May 16) akitokea Uingereza
kama alivyoahidi na kuhudhuria show ya MTV Africa Road to MAMA iliyofanyika
Club Billicanas usiku wa kuamkia leo. Akiwa London Platnumz aliahidi kurejea
nchini kwaajili ya tukio hilo muhimu, akiwa kama nominee wa tuzo za MTV Africa
(MAMA).
Platnumz ameshare picha akiwa uwanja wa ndege alipokuwa
akijiandaa kucheck in mida ya saa 9 alfajiri.
0 comments:
Chapisha Maoni