Najua stori ya Kanye West na Kim Kardashian kufunga
ndoa sio mpya ila kilichokua kinasubiriwa sana ni picha za harusi
yenyewe manake zilichelewa kutoka baada ya wawili hawa kufunga ndoa huko
Italia walikokwenda kwa kutumia ndege binafsi. Sasa
hivi mastaa hawa bado wapo kwenye mapumziko ya honeymoon ambapo
wanatarajiwa kutembelea sehemu za kitalii Ireland mpaka Ijumaa hii kisha
watarudi Marekani kwa kutumia ndege yao binafsi.
Wawili
hawa saa kadhaa zilizopita wameonekana Portlaoise, Co Laois
walipokwenda Cinema ambapo walionekana na wasaidizi wao pamoja na
walinzi wao kila walikokanyaga kama unavyoona kwenye picha hapa chini.
0 comments:
Chapisha Maoni