.

Alhamisi, 15 Mei 2014

PAMOJA NA MASTAA WENGI KUMPA HONGERA DIAMOND PLATNUMZ KWA KUWA NOMINATED "BET" ONA LULU UJUMBE ALIOMWACHIA DIAMOND!!



Hii ni Tanzania ambayo kwa sasa Diamond Platnumz ameamua kutuonyesha kwenye ramani ya Dunia,imekua ni good news kwa Tanzania na afrika mashariki kwa ujumla,baadhi ya mastar wa Tanzania wamekubali kutoa ya moyoni baada ya taarifa hiyo miongoni mwao ni pamoja na Mkubwa Fela,Wema Sepetu,Lulu Michael Ay,Belle 9,Vanesa Mdee na wengine kibao. Lakini Kuna kaujumbe kakushangaza kidongo ambako lulu amemuachia Platnumz Pindi atakapofika Marekani!!


Kaujumbe kenyawe haka hapa

Hiv Kweli lulu anamatumaini mpaka leo kutembea na Justin Bieberr??

0 comments:

Chapisha Maoni