.

Jumapili, 18 Mei 2014

#MICHEPUKO NOMA: KIM KARDASHIAN ABAMBWA LIVE USIKU AKIWA NA JAMAA


Mwana mama Kim Kardsshian ambaye ni mpenzi wa Kanye West, ikiwazimebaki siku sita tu wawili hao wafunge ndoa....usiku wa jana mwana mama huyo ameonekana mitaa ya HOLYHOOD akiwa na jamaa katika mapozi ya UTATA...vyombo vya udaku nchini Marekani vinasema labda ni mambo ya
MICHEPUKO....bado haijafaamika jamaa huyo ni nani hasa na Kanye West bado ajasema chochote kuhusi hili.....jionee mwenyewe picha hizo...



ZAIDI

0 comments:

Chapisha Maoni