Jada Pinkett Amtetea Mwanae 'Willow' Kufuatia Picha Tata Aliyopiga Akiwa Kitandani na Mwanaume

Familia ya bwana na bibi Will Smith iliyojaa vipaji ilikubwa na kashfa hivi karibuni baada ya kusambaa kwenye Instagram na Tumblr picha ya Willow Smith akiwa kitandani na muigizaji wa kiume, Moises Arias.
Picha hiyo ilikuwa gumzo na wengi waliiponda kwa kuwa ilimuonesha Willow mwenye umri wa miaka 13 akiwa amejilaza kitandani na Moises Arias mwenye umri wa miaka 20 huku kijana huyo akiwa kifua wazi.
Jada Pinkett Smith alisisimamishwa uwanja wa ndege kwa sekunde kadhaa na TMZ waliotaka kufahamu comment yake kuhusu picha hiyo.

Alieleza kwa ufupi kuwa hakuna kitu chochote kinachohusiana na mapenzi kwenye picha hiyo na kwamba watu wanajaribu kutengeneza tu.
0 comments:
Chapisha Maoni