.

Jumamosi, 17 Mei 2014

HUU NDIO MWONEKANO MPYA WA PETER OKOYE KUTOKA P SQUARE ABADILI MWONEKANO WAKE WA NYWELE

 



Ikiwa ni mfululizo wa wasanii kibao kubadili mitindo yao ya nywele siku hadi siku, sasa ni zamu ya msanii marufu kutoka kundi la P Square kutoka jijini Lagos Nigeria.


Peter Okoye aamua kubadili mwonekano wake kwa kuamua kunyoa nywele zake. Amini usiamini as a good father na mfano wa kuigwa kapendeza sana kwa mtindo huu mpya kitu kilichowavutia mashabiki wengi sana wa kaka huyu kutoka kundi la P Square,



Mwonekano huu umeonekana kuwapendeza wengi ikiwemo ni Starboy Wizkid ambaye aliandika kupitia mtandao wake wa 212, nanukuu Nice haircut and s*xy body""


0 comments:

Chapisha Maoni