Ni siku ambayo Wananchi wa Mtwara wameamua kuiteua kama siku ya kukumbuka wale waliopoteza maisha kwenye sekeseke la Gesi mkoani Mtwara,ingawa haijawa rasmi lakini asilimia kubwa ya mkoa wa Mtwara huduma zimesitishwa ikiwemo daladala zinazotoka na kuingia katikati ya mji huo,maduka na baadhi ya huduma kama za sokoni.
Mwakilishi wa millardayo.com mkoa wa Mtwara katuma picha hizi kadhaa za mitaa mbalimbali ya mkoa wa Mtwara hali ilivyo tangua asubuhi ya Mei 22.
0 comments:
Chapisha Maoni