Serikali
ipige marufuku makampuni ya kutengeneza Mabango kuweka mabango karibu
na Barabara ya wekwe mbali na barabara mita 20 kutoka Barabara kuu hili
limeanguka Round about ya Royal Oven njia ya kwenda Lugalo Golf course
(Avacado)Na hii siyo mara yakwanza mabango kuanguka kunasiku pale katika
ya seilender bridge na Kinondoni lilianguka uzuri kulikuwa katika
mikoko!
0 comments:
Chapisha Maoni