.

Alhamisi, 22 Mei 2014

Ciara na Future wamepata mtoto! mama kashea nusu picha yake


Ni mastaa ambao walipoanza mapenzi yao wengi waliona kama wanafanya hivyo ili kutengeneza headlines tu zitakazofanya wauze muziki wao lakini May 19 2014 mastaa hawa wamepata mtoto wao wa kwanza pamoja japo akiwa ni mtoto wa nne kwa Future.

Mtoto alizaliwa Los Angeles Marekani na tayari saa kadhaa baadae mama yake akashea picha ya kwanza ya mtoto huyu japo ni nusu picha.

0 comments:

Chapisha Maoni